Ushauri wa Afya ya Mwanaume – Ndani ya Ofisi
Huduma hii inalenga wanaume wanaotaka kuboresha afya zao kwa ujumla, nguvu za kiume na mtindo wa maisha kwa njia salama, ya kitaalamu na ya faragha. Ndani ya dakika 60, mteja hupata uchunguzi wa awali, ushauri wa kiafya na mpango binafsi wa wiki 4 kulingana na mahitaji yake.
Huduma inajumuisha:
Fomu ya tathmini ya afya na mtindo wa maisha
Mpango wa lishe unaofaa hali ya mwili
Mazoezi ya nguvu na uimara
Ushauri binafsi wa kitaalamu
Follow-up ya karibu kupitia WhatsApp
Bonus: Video au sample za msaada
Huduma hutolewa Afya Mkononi – Kinondoni, Dar es Salaam, kwa malipo ya Tsh 100,000 tu, na malipo yanaweza kufanyika kwa simu au ofisini.
👉 Jisajili leo, chukua hatua ya kuboresha afya yako ndani ya wiki 4.
📞 +255 654 610 480
TSH 100,000
- Category Mafunzo ya Afya Binafsi (Health Coaching)
- Availability 10000 Units
- SKU PROD-d47bcdd1-a5f0-40a2-a7a4-d3dfd64efca2