Online (Ushauri  Binafsi Inbox Kwako Kwa  Siku 30)
In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
Mafunzo ya Afya Binafsi (Health Coaching)

Online (Ushauri Binafsi Inbox Kwako Kwa Siku 30)

4.9 (128 Reviews)

Huduma ya Ushauri Binafsi wa Kiume ni mpango maalum wa mtu mmoja kwa mmoja (1–on–1) unaomlenga mwanaume anayehitaji msaada wa karibu kuhusu afya ya uzazi, nguvu za kiume na utendaji wa mwili kwa ujumla.

Kupitia mawasiliano ya mtandaoni, unapata:

🧠 Ushauri wa siri na wa faragha (1 kwa 1) bila aibu wala hukumu

πŸ’¬ Majibu ya maswali yako yote kwa kina, kulingana na hali yako binafsi

πŸ₯— Mpango maalum wa tiba, juisi, lishe na dozi unaoendana na mwili wako na changamoto zako

πŸ“… Ufuatiliaji wa siku 30 ili kuhakikisha unaelewa, unatekeleza na unaona mabadiliko

Huduma hii inalenga kutatua chanzo cha tatizo, si kuficha dalili, kwa kutumia elimu, lishe sahihi na mabadiliko ya mtindo wa maisha.

πŸ’° Gharama: Tsh 35,000 tu kwa siku 30
⏳ Nafasi chache kwa mwezi (watu 5 tu)

πŸ‘‰ Ushauri wa kweli huanza kwa kuelewa mwili wako na kuchukua hatua sahihi.

TSH 35,000

  • Category Mafunzo ya Afya Binafsi (Health Coaching)
  • Availability 10000 Units
  • SKU PROD-6285e1d2-9a38-4672-a133-bdf72970d740