AFYA MKONONI COACH

Tunawasaidia wanaume wenye miaka 30+ kurejesha nguvu, stamina na kujiamini kwa mfumo sahihi — si kwa
kubahatisha virutubisho.

Kupitia tathmini ya kina, mpango wa lishe na virutubisho vilivyochaguliwa kitaalamu, tunakujengea ramani ya siku 30–90 ya kuboresha mmeng’enyo, homoni na ufanisi wa tendo.

Wellness Hero
Heart Health
Premium Care
4.9/5 Rating
Trusted by 50K+
JE, UNAKUTANA NA DALILI HIZI?

• Uchovu unaoendelea hata baada ya kulala • Hamu ya tendo kushuka bila sababu wazi • Uume kusimama lakini kukosa kudumu • Kuwahi kufika kileleni • Tumbo kujaa gesi, choo kigumu au kuvimbiwa • Msongo wa mawazo unaoathiri nguvu Hizi si dalili za kawaida za kuzeeka. Mara nyingi ni ishara kuwa mmeng’enyo, mzunguko wa damu na mfumo wa homoni havifanyi kazi kwa uwiano sahihi. Kabla ya kutumia bidhaa yoyote, unahitaji kujua chanzo.

TUNAFANYA NINI TOFAUTI?

Kwa nini AFYA MKONONI COACH ni tofauti na wauza virutubisho wengine? Tunaanza na tathmini ya hali yako binafsi Tunatoa program kamili, si chupa ya tembe pekee Tunajumuisha lishe, mazoezi na ufuatiliaji Tunajenga mpango kulingana na dalili zako, si kwa kubahatisha Lengo letu si kukuuzia bidhaa. Lengo ni kukusaidia kurejesha mfumo wa mwili kufanya kazi ipasavyo.

AFYA MKONONI COACH Performance Method™

Hatua ya 1: CLEAN Kusafisha na kurekebisha mfumo wa mmeng’enyo ili kuboresha ufyonzwaji wa virutubisho. Hatua ya 2: REPAIR Kurejesha uwiano wa microbiome, kupunguza uvimbe wa ndani (inflammation) na kusaidia utulivu wa mfumo wa neva. Hatua ya 3: ACTIVATE Kuchochea mzunguko mzuri wa damu, kusaidia homoni kufanya kazi vizuri na kuongeza stamina. Hatua ya 4: OPTIMIZE Kuimarisha ufanisi wa tendo, kujiamini na nguvu za mwili kwa muda mrefu. Hii si suluhisho la haraka la siku moja. Ni mfumo wa kujenga upya uwezo wa mwili wako.

Limited Time Offer

Soma makala zetu kuhusu:

• Uhusiano wa mmeng’enyo na testosterone • Kwa nini msongo hushusha nguvu za kiume • Sababu za uume kukosa stamina hata ukiwa bado kijana • Umuhimu wa mzunguko mzuri wa damu Elimu sahihi huondoa hofu na kubahatisha. Usiendelee kubahatisha afya yako. Jiunge nasi leo bofya 🔗👇

WhatsApp free class channel