kirutubisho lishe cha RestorLyf
Kirutubisho Lishe kwa Afya ya Tezi Dume (Prostate) na Mfumo wa Mkojo
Restolyf ni dietary supplement, sio dawa.
Haikusudiwi kutibu au kuponya ugonjwa, bali kusaidia mwili – hasa tezi dume (prostate) – kufanya kazi kwa ufanisi kupitia virutubisho vya mimea na antioxidants zenye ushahidi wa kisayansi.
Imeundwa kwa mchanganyiko wa viambato vinavyosaidia kupunguza uvimbe wa ndani (inflammation), kusaidia mzunguko wa damu, na kulinda seli dhidi ya uharibifu wa sumu mwilini.
Kwa wanaume wengi kuanzia miaka 35+, tezi dume huanza kuonyesha dalili kama:
- Kukojoa mara kwa mara, hasa usiku
- Mkojo kutoka kwa shida au kwa mkondo dhaifu
- Hisia ya kutokumaliza mkojo
- Kupungua kwa hamu au kujiamini kitandani
Restolyf husaidia kwa njia hizi:
- Kusaidia afya ya tezi dume na kupunguza msongamano wa ndani
- Kuboresha mtiririko wa mkojo
- Kusaidia mzunguko mzuri wa damu eneo la nyonga
- Kulinda seli dhidi ya oxidative stress
USHUHUDA WA WATEJA
Mteja (miaka 46, Arusha) alilalamika kukojoa mara 4–5 usiku. Baada ya kutumia Restolyf kwa wiki 6 pamoja na kupunguza sukari na mafuta mabaya, aliripoti kushuka hadi mara 1–2 usiku na usingizi kuwa mzuri zaidi.
Mwingine (miaka 52, Dar es Salaam) aliripoti mkondo wa mkojo kuimarika ndani ya mwezi mmoja na kupungua kwa maumivu ya chini ya tumbo.
Jinsi ya kutumia:
Kapsuli 1–2 kwa siku Masaa mawili baada ya chakula, kwa angalau siku 30–60 kulingana na hali ya mtu.
Nani anafaa kutumia:
- Wanaume 35+ wanaoanza kuona dalili za tezi dume
- Wenye historia ya kukojoa mara kwa mara au mkondo dhaifu
- Wanaotaka kulinda afya ya prostate mapema
Tahadhari:
- Sio mbadala wa matibabu ya hospitali
- Mwenye dalili kali au damu kwenye mkojo anatakiwa apime hospitali kwanza
- Usizidishe dozi
Bei:
Pakiti ya tembe 30 – Tsh 130,000
Inapatikana kupitia website yangu kwa oda ya moja kwa moja.
Afya ya mwanaume huanzia ndani.
Restolyf ni uwekezaji wa kulinda heshima na utulivu wako wa muda mrefu.
Ukiwa tayari kuboresha afya ya tezi dume, agiza pakiti yako leo.
TSH 99,900
TSH 130,000 SAVE 23%- Category Virutubisho vya Afya (Health Supplements)
- Availability 100 Units
- SKU PROD-d45cd4ea-1b96-4f21-8c7b-d409fc3e522c