In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
Elimu Ya Afya Ya Uzazi
Mafunzo Ya Kila Siku Ndani Ya WhatsApp Group
Huduma hii ya BURE inamuwezesha mwanaume aliyekomaa kupata mafunzo ya kila siku yanayomsaidia kuboresha ufanisi wa tendo la ndoa kwa njia asili na salama, bila kutumia booster, dawa za kusisimua wala hatarishi.
Kupitia elimu rahisi na inayoeleweka, mwanaume anajifunza:
Kudhibiti mwili na akili wakati wa tendo
Kuongeza stamina na ujasiri
Kurejesha nguvu za kiume kwa misingi ya elimu ya mwili na afya
Kuelewa chanzo cha changamoto zake na namna ya kuzitatua kwa muda mrefu
Huduma inalenga mabadiliko ya kweli, sio suluhisho la muda.
👉 Jifunze. Badilika. Jitibu kwa Elimu.
TSH 0
- Category Elimu Ya Afya Ya Uzazi
- Availability 10000 Units
- SKU PROD-83f443f4-09a9-4622-9f18-054ba4d01bb5